KOSAKOSA: POLISI vs SIMBA

3 years ago
1

KOSAKOSA: POLISI vs SIMBA.

Hizi hapa ni baadhi ya nafasi na mashambulizi yaliyofanywa kwenye Dimba la Ushirika mjini Moshi Jumapili iliyopita.

Mechi ilimalizika bila goli kwa pande zote mbili.

Je, kati ya Metacha Mnata na Beno Kakolanya, ni yupi alionesha kiwango bora zaidi kwenye mchezo huu.

Loading comments...